Baada ya kuachana miezi kadhaa iliyopita,Wazazi wa mkali wa
vipindi vya runinga,Kim Kardashian,Kris Jenner na Bruce Jenner wamejitokeza
hadharani kwa wakiwa pamoja.Jenner na Bruce wanaripotiwa na tovuti ya TMZ kuwa
pamoja mara nyingi ikiwamo kuongozana Hospital.
Kris Jenner ambaye anadaiwa kuwa chanzo cha kuvunjika kwa
ndoa hiyo,aliweka picha katika ukurasa wake wa Instagram,ikimuonyesha kuwa na
Bruce na kuandika anafuraha kutimiza miaka 23 ya kukutana na mwanamke
anayemvutia na kumshangaza.
Kwa mujibu wamtandao huo ni nadra kutokea wanandoa
walioachana kusherekea pamoja siku ya kutimiza miaka kadhaa ya ndoa yao,ndiyo
maana kuna uvumi kuwa wawili hao wametengana nyumba lakini mambo mengine
yanaendelea,ikiwemo kukutana faragha.
No comments:
Post a Comment