Mwana Muziki Bob Wine ameingia kwenye mgogoro na Mamlaka ya
Mapato ya Uganda kutokana na kumiliki gari ambalo linasemekana
ni la chama cha
Msalaba mwekundu.Wine ameingia kwenye sakata hilo baada ya mtandao wa redpepper kuripoti kuwa gari
analomiliki aina ya Toyota Tundra,halikulipiwa ushuru
No comments:
Post a Comment