Pages

Thursday, April 10, 2014

KAMA ULIKUWA HUJUI NGUCHIRO NI MNYAMA MWENYE WIVU WA MAPENZI

  
Nguchiro ni wanyama mdogo kiasi kutoka familia ya Herpestidae.kuna aina nyingi ya Nguchiro na wanatofutiana kulingana na mazingira wanyama hawa wanapatikana Afrika,Asia na Ulaya ya Kusini na katika visiwa vya Hawaii nchini Marekani.Kuna takribani jamii 33 za nguchiro wanaoishi sehemu mblimbali duniani.

Hata hivyo katika nchi ya Madagascar kuna aina nne za nguchiro ambao baadaye walibainika kuwa wanatabia tofauti hivyo wamewekwa katika familia nyingine ya wanyama iitwayo Galidiinae.

No comments:

Post a Comment