Orodha ya wasanii watano wa Hip Hop Matajiri zaidi 2014 Sean
“Diddy”Combs,zamani Puff Daddy au P.Diddy na sasa Diddy ndiye anayeongoza
katika katika orodha hiyo kwa kuwa msanii tajiri zaidi wa Hip Hop 2014 kwa mujibu
wa Forbes
1.Sean “Diddy” Combs $700 Million/Revolt TV/Diageo’s Ciroc
2.Andre “Dr Dre”Young”$550 Million/Beats by Dr.Dre
Headphones
3.Shawn “Jay Z”Carter /$520Million/Rocawear Sale/Live
Nation/Roc Nation
4.Bryn “Birdman”Williams/Cash Money/YMCMB/GT Vodka
5.Curtis Jackson aka 50 Cent $140 Million/Vitamin Water/SMS
Audio/SK Energy
No comments:
Post a Comment