Katika kudhihirisha kuwa amepania kupambana na
matumizi ya Dawa za kulevya,Ray C ameanza kurekodi kipindi cha Televisheni
kitakachoitwa “pamoja tunaweza”.Ingawa
hajaweka wazi kituo kitakachorusha kipindi hicho Ray C ameandika katika mtandao
wa Instagram kuwa kipindi kitakuwa kikizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu
dawa za kulevya.
No comments:
Post a Comment