Pages

Saturday, April 12, 2014

LADY JAY DEE AAHIRISHA UZINDUZI WA VIDEO YAKE

 Kupitia facebook Lady jay dee  ameandika:

Nasikitika kutangaza kuahirisha kwa shuguli ya utambulisho wa wimbo na video mpya ya jaydee"NASIMAMA"kutokana na hali tete ya bojo iliyojitokeza ambayo iko nje ya uwezo wa binadamu ..LAKINI wimbo na video vitarushwa leo katika mtandao.DS na DVD vitasambazwa kwa walengwa (Media) hapo kesho na jumatatu.Bongo5

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza....Jaydee  

No comments:

Post a Comment