Pages

Saturday, April 19, 2014

KAMA ULIKUWA HUJUI.............MUZIKI HUIFANYA MIMEA KUKUA HARAKA NA KUSTAWI

Hivi unajua kwamba mimea ina hisia? Unajua pia inasikia maumivu?

Mwanafizikia  aliyebobea katika sayansi ya mimea kutoka nchini India, Jagadis Chandra Bose alitumia kipindi kirefu katika maisha yake kutafiti na kujifunza kwa vitendo namna mazingira ya mimea na kuthibitisha
kwamba inaguswa na baadhi ya tabia za viumbehai.

Pia alithibitisha kwamba mimea ni kama binadamu, kwani inahisi na inaguswa na mazingira ya nje kama vile mwanga, baridi, joto na kelele au sauti.

No comments:

Post a Comment