Bongo5
imethibitisha taarifa hizo kwa Allan mwenyewe aliyekiri kuacha kazi
EATV ingawa amesema hayupo tayari kutoa sababu za uamuzi wake kwa sasa
kutokana na mipango yake.
"Kwa kifupi nimeacha lakini information siwezi kukupa sasa hivi Allan ameiambia Bongo5
No comments:
Post a Comment