BREAKING NEWS: Watu wasiojulikana
wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la
Kinondoni na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake
haijajulikana mara moja.
Tukio hilo limetokea muda huu saa nne ,
katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha
watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.Udaku
No comments:
Post a Comment