Pages

Saturday, April 12, 2014

DARAJA LINALOUNGANISHA DAR NA BAGAMOYO LAVUNJIKA



Daraja linalotengenisha Dar es salaam na Bagamoyo lililopo maeneo ya Bunju B limevunjika na kufanya kutokuwepo mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo....Nimepata habari kuwa mtu wa Bagamoyo akitaka kuja Dar lazima azungukie Kibaha.From Udaku

No comments:

Post a Comment