Pages

Monday, March 10, 2014

SITUMII MKOROGO NG'O!



Msanii Emma Nyra kutoka Lagos nchini Nigeria amebainisha kuwa licha ya kuwa mastaa wengi kutumia mkorogo yeye hana huo mpango wa kutumia na kasema anaona ni kama utumwa na hawezi kuwa mtumwa wa kitu kisichokuwa namaana,"siamini katika hilo kutumia mkorogo ni sawa na utumwa inabidi ufanye hivyo maisha yako yote ,kitu ambacho nakiri sintoweza sitaki kupata maradhi" alisema Nyra

Aliongeza kwa kusema anashangaa sana wanawake kuendelea kutumia mkorogo licha ya wataalamu kutaja wazi madhara yanayotokana na mkorogo ikiwemo saratani.

No comments:

Post a Comment