Pages

Sunday, March 09, 2014

LINEX:KINADADA NDIYO WAPENZI WAKUBWA WA MUZIKI WANGU.



Mwanamuziki Sunday Mjeda (Linex),amesema mziki wake unapendwa zaidi na kinadada kutokana na mashairi yake kuwa ya ukweli nayasiyowakandamiza.

Alieleza kwamba wanamziki wengi wamekuwa wakiwaponda kinadada kwa mambo yasiyokuwa na uhalisia,lakini yeye anatunga mashairi yanayogusa mambo yanayofanyika katika maisha ya kila siku.

"Nimarafiki zangu (kinadada) kwa kuwa siimbi vitu vya uongo kuhusu tabia zao.ni kweli na yanayofanyika,lakini sauti yangu inalipa kwa kuwa wasichana hupenda vitu vizuri na laini"alisema Linex kwa mzaha kidogo.

No comments:

Post a Comment