Pages

Wednesday, March 19, 2014

CHRIS BROWN AFUNGUA KAMPUNI YA MITINDO


Vijana wengi wanazifanyia kazi fursa zilizopo bila kuchagua wako kwenye tansia gani.Mwanamziki Chris Brown ni mmoja kati ya vijana ambaye ameiona fursa kwa kwa kufungua kampuni za mitindo.

Brown amekuwa akiandamwa na masaibu mbalimbali,ikiwemo kuswekwa rumande baada ya kukiuka makubaliano ya jinsi ya kupata tiba ya ushauri nasaha.Lakini hilo halijamzuia kuendelezamiradi yake aliyoiweka katikaukurasa wake wa twitter.

No comments:

Post a Comment