Wizara ya
afya na ustawi wa jamii imesema kuwa
takwimu zinaonyesha kwamba
wanawake 20,000 wanaishi na ugonjwa wa Fistula.Hayo yamo katika hotuba ya mke
wa Rais mama Salma Kikwete aliyoitoa kwenye hafla iliyowakutanisha wanawake
mashuhuri nchini iliyofanyika dare s salaam.
***************************
Watafiti
kutoka Uingereza na Marekani wanasema kuwa mabadiliko ya hali ya hewa huenda
yakazua ongezeko kubwa la maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kote duniani huku
ugonjwa huo ukienea katika maeneo ya milimani barani Afrika na Amerika ya
Kusini.
************NA**************
Rais Obama
amefanya mazungumzo zaidi ya kina na rais wa Urusi Vladmir Putin akisistiza
kuwa vitendo vya nchi yake katika jimbo la Crimea ni ukiukaji wa mipaka na
uhuru wa taifa la Ukraine.
No comments:
Post a Comment