Pages

Friday, March 28, 2014

DIAMOND NA JAY DEE WACHUANA VIKALI TUZO ZA KILI MWAKA 2014



                                                                   Diamond
Wasanii hawa pia wanawania pamoja tuzo nne,ikiwemo tuzo kubwa ya wimbo bora wa mwaka,tuzo ambayo Diamond ameingiza kibao kinachotamba sasa cha "my number one" wakati jay dee ameingiza "Joto hasira"alichoshirikiana na profesa Jay na Yahaya.

Wasanii hao pia wanachuana katika katika tuzo za wimbo bora wa kushirikiana,wimbo bora wa Afro pop na Video bora ya mwaka.
Katika tuzo hizo wanamuziki hao ndiyo waliotajwa kuwaniatuzo nyingi zaidi.Diamond ametajwa kuwania tuzo saba na Jay dee kuwania tuzo tano.
                                                                  Lady jay Dee

No comments:

Post a Comment