Pages

Monday, May 12, 2014

AWEKA JOKOFU NJE KUSAIDIA MASIKINI CHAKULA




Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja raia wa Saudia Arabia ameweka jokofu lililosheheni vyakula nje ya nyumba yakekwa lengo la kuwasaidia watu wasiokuwa na uwezo wa kununua chakula.kwa mujibu wa gazeti la Gulf News msamalia huyo pia aliwaambia majirani zake watumie jokofu hilo kuweka vyakula ambavyo ili kuwapa fursa masikini wakipita eneo hilo kujihudumia bila wasiwasi.

No comments:

Post a Comment