Pages

Sunday, March 16, 2014

KIJANA AMEFARIKI KWA KULIPUKIWA NA SIMU




Taarifa iloenea sehem tofauti za mji wa Zanzibar:-
Kuna kijana anajulikana kwa jina la Ally mkazi wa Michenzani (Kiswandui)jirani na kwa bi mkubwa stadi umri wake miaka 22 amefariki ghafla maghribi ya leo,taarifa zilopatikana sababu ya kifo chake ni kuwa :-

Alikuwa akicharge simu yake kwa kutumia laptop na wakati huo huo alikuwa anazungumza na mtu kupitia simu hiyo,baada ya cmu kupata joto kali(over heat),simu hiyo ilimripukia na kumuathiri sehemu za mikono,uso hasa upande aloweka simu hiyo na kupelekea kufariki dunia.??? ??? ???? 

Maziko kesho inshaallah saa 4 msikiti wa Gongoni tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wote ili sisi tulio na tabia kama hiyo tuiwache mara moja.CHANZO UDAKU

No comments:

Post a Comment